Barabara pia ilikua ni moja ya kikwanzo cha maendeleo ya Kijiji cha Gando,hatuna budi kushukuru serikali katika kuleta bara bara japo kua ipo njiani katika kumaliziwa ila hii ni kama taraja la maendeleo, ipo haja sasa ya kutumia Daraja hili la maendeleo ili kupiga hatua za kimandeleo siku hasi siku, tunaihakikishia serikali ya mapinduzi ya zanzibar kua tutatumia miundo mbinu hii mimpya katika nji sahihi kukuza usafirishaji wa mazao kwenda mjini na kutanua wigo wa biashara ya mazao ya ndizi na mengi mengineo.
No comments:
Post a Comment