TATIZO LA UHABA WA MADAWATI NA MAKTABA
kunatabia ya wanafunzi kuhamisha madawati kila muda kutokana na uhaba kutoka chumba kimoja kwenda chumba chengine hii hali inakwaza maendeleo ya masomo kwa kizazi kipya hichi, miongoni mwao ni viongozi mbali mbali na maafisa wa taasisi mbali mbali za Taifa la kesho, ili kua na taifa imara lazima tutupie elimu macho mawili ya huruma kwa vijana hawa kabla hawajakata tamaa.
TUNAHITAJI KUSAIDIA UMALIZAJI WA MADARASA YALIOJENGWA NA NGUVU ZA WAZAZI NA NA WANAFUNZI NA KUISHIA HAPA KAMA INAVOONEKANA