JOGOO LIMEWIKA

Sunday, October 14, 2012

TUKIWA TUNAAMINI KABISA KUA ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA YA WANADAMU BASI IPO HAJA YA KUSHAJIISHA KWA NAMNA TAFAUTI KUKUZA NGUVU YA MUAMKO WA KIELIMU VIJIJINI




 
TATIZO LA UHABA WA MADAWATI NA MAKTABA


kunatabia ya wanafunzi kuhamisha madawati kila muda kutokana na uhaba kutoka chumba kimoja kwenda chumba chengine hii hali inakwaza maendeleo ya masomo kwa kizazi kipya hichi, miongoni mwao ni viongozi mbali mbali na maafisa wa taasisi mbali mbali za Taifa la kesho, ili kua na taifa imara lazima tutupie elimu macho mawili ya huruma kwa vijana hawa kabla hawajakata tamaa.

TUNAHITAJI KUSAIDIA UMALIZAJI WA MADARASA YALIOJENGWA NA NGUVU ZA WAZAZI NA NA WANAFUNZI NA KUISHIA HAPA KAMA INAVOONEKANA

No comments:

Post a Comment