JOGOO LIMEWIKA

Monday, October 8, 2012

MSINGI WA ELIMU KATIKA KIJIJI CHETU

Bado uhaba wa madawati ni tatizzo kubwa sana ambao unapelekea kukatika tamaa kwa wanafunzi kujua umuhimu wa Elimu na Thamani yake hii inapelekewa kwa kutokuwepo kwa washajiishaji (facilitators)  wenye uwezo katika kusaidia kuondoa hii hali mbovu inayo kumba kizazi hichi kimpya.
 
Ufundishaji duni sana mtoa taaluma anaongea bila mwanafunzi kua na note book, si kweli kama kila kitu kinaingia kichwani na kukaa hii hali inahitaji ushauri na ufatiliaji wa kutosha kuokoa wimbi la wanafunzi wanao feli kwa asilimia kubwa kila mwaka.
Miongoni mwa mambo ya kusikitisha sana ni hili jengo ambalo tulilianzasha kwa nguvu za wazee na wanafunzi tokea 2006 kwa ajili ya kutanua wingi wa madarasa na kusitia hapa hadi leo  bila kujitokeza mfadhili binafsi shirika wala mwanasiasa kati ya tulio wachagua katika kuliendeleza hili na kulimaliza kwa faida ya umma, tunaomba msaada katika kufanikisha hili naamini litakua

No comments:

Post a Comment